TUICO SIGNS CBA WITH SONGAS (T) LTD

http://www.tuico-union.org/2020/06/tuico-signs-cba-with-songas-t-ltd.html
Hatimae baada Majadiliano ya muda mrefu ya Mkataba wa nyongeza wa Mishahara baina ya Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers - TUICO na SONGAS TANZANIA LIMITED na Globeleq umesainiwa Tarehe November 21,2019 .Pichani ni Mkuu wa Sekta ya Biashara Comrade Peles Jonathan wa Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers - TUICO akibadilishana Mkataba na Uongozi wa Songas na Globeleq.....
#TUICO
#GLOBELEQ
#SONGAS
#TUICO
#GLOBELEQ
#SONGAS