TUICO YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYAKAZI WA NBC PLC

Wafanyakazi wa NBC Bank Plc ambao pia ni Wanachama wa Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers - TUICO walipokuwa walipewa Semina ya Mafunzo kuhusu hatua Kuendesha Kikao Kinidhamu wawepo kazini na Sheria za Kazi na Mahusiano Kazini.

Semina hiyo ikitotewa na Mkuu wa Sekta ya Fedha Comrade Willy Kibona ,Mwenyekiti wa Kanda ya Dar Es Salaam - NBC ,Ndugu Khalid Mfaume pamoja na Mwanasheria Msomi kutoka Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers - TUICO Makao Makuu Jamal Ngowo.
Pamoja na Elimu hiyo Wanachama hao walipata fursa ya kutoa maoni,Changamoto na kutoa Ushauri kama Wanachama.

Semina hiyo ilifanyika Ofisi za Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers - TUICO Makao Makuu Ilala Sharif Shamba Dar es Salaam, Tanzania wiki iliyopita.
#TUICO
#NBCPLC


Related

Seminars and Workshops 4118757376855533411

Post a Comment

emo-but-icon

TUICO CAMPAIGNS TO END GBV

ABOUT TUICO

TUICO on Twitter

TUICO ON FACEBOOK

Connect Us

item
Wordpress