TUICO YAFANYA ZIARA KIWANDA CHA NGUO CHA 21ST CENTURY

Mkuu wa Idara ya Wanawake TUICO Makao Makuu Bi. Maria Bange akizungumza na Kamati ya Wanawake Tawi la TUICO kiwanda cha nguo cha 21st Century Limited, Morogoro. Katika Ziara hiyo, Kamati ilipatiwa maarifa kuhusu majukumu yake, elimu ya masuala ya jinsia sambamba na taarifa mbalimbali kuhusu Chama. 
Related

Women 8799053172796039108

Post a Comment

emo-but-icon

TUICO CAMPAIGNS TO END GBV

ABOUT TUICO

TUICO on Twitter

TUICO ON FACEBOOK

Connect Us

item
Wordpress