Mkuu wa
Idara ya Wanawake TUICO Makao Makuu Bi. Maria Bange akizungumza na Kamati ya
Wanawake Tawi la TUICO TANESCo Mkoa wa Morogoro (Masika). Katika Ziara hiyo,
Kamati ilipatiwa maarifa kuhusu majukumu yake, elimu ya masuala ya jinsia
sambamba na taarifa mbalimbali kuhusu Chama.