Mshikamano Daima!
PICHA: Vyama vya wafanyakazi vipo kwa ajili ya kuhamasisha wafanyakazi kwenye maeneo yao ya kazi. Hivyo, leo TUICO tumehamasisha wafanyakazi kujiunga na Chama katika Kituo cha Afya Buguruni Anglikana.