TUICO YASAINI MKATABA WA HALI BORA NA SUPREME AUTO GARAGE

 
Mei 23, 2021, Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) Mkoa wa Tabora kilifunga Mkataba wa Hali Bora za kazi baina yake na Supreme Auto Garage, Wakala wa TOYOTA Tanzania. Pichani ni Katibu wa TUICO Mkoa wa Tabora Ndg. Boniphace Nyenyembe (wa pili kulia) na Katibu Msaidizi Bi. Felister Chimola (wa kwanza kushoto) wakiwa na Viongozi wa Tawi na Mwajiri, Tawi la Supreme Auto Garage, Tabora.

Related

Recent News 5886176848580010339

Post a Comment

emo-but-icon

TUICO CAMPAIGNS TO END GBV

ABOUT TUICO

TUICO on Twitter

TUICO ON FACEBOOK

Connect Us

item
Wordpress