Happy Nyerere Day

Katika kuadhimisha Siku ya Nyerere, TUICO tunaunga mkono mtazamo wa Mwalimu kwamba vyama vya wafanyakazi vilianzishwa ili kujenga umoja na mshikamano kama sauti ya pamoja kutetea maslahi ya wafanyakazi. Wazo la kuwa na vyama vya wafanyakazi sio la Tanzania wala nchi zilizoendelea bali ni wafanyakazi. Heri ya Siku ya Nyerere.

Related

Recent News 7578023504260891390

Post a Comment

emo-but-icon

TUICO CAMPAIGNS TO END GBV

ABOUT TUICO

TUICO on Twitter

TUICO ON FACEBOOK

Connect Us

item
Wordpress